Wednesday, August 30, 2017

Image may contain: 1 person, sitting

 Seasoned and learned Lawyers waliobobea katika masuala ya sheria, wamemdharau Lissu kwa kujaribu kuingiza siasa na uanaharakati kwenye proffession ya Uwakili.


Pamoja na kusikitishwa na kitendo cha kuipiga bomu ofisi ya uwakili ya IMMMA, Upanga Dar es salaam, advocate mmoja Alphonce Katemi namnukuu:
"...those calls(kugoma) are unproffessiona,unneccessary and unreasonable,..... such actionwould have negative consequences to their Clients, who have fully instructed to provide legal services"
Lissu anasahau kitu kimoja, Advcates hawana tatizo na serikali kimsingi, na vile vile kwamba Advocate are NOT the driving force in legal matters, they are there to be instructed by their Clients.

Mbaya zaidi Advocates hao wanasema TLS si chombo cha kutetea Advocates kama ilivyo Trade Unions, vyama vya wafanya kazi, bali it is a professional body.

Kazi kwako Tundu Lissu, wenzako wanakuonyesha ulivyo mtoto kwenye fani ya sharia.

0 comments:

Post a Comment