Sunday, August 20, 2017


Sex ni moja kati ya kitu muhimu sana kwa binadamu. Sex ni muhimu zaidi na nikitendo cha kufurahisha tena haswa pale unapokuwa unafanya na mtu unayempenda toka moyoni mwako. Ni mara ngapi umeshindwa kufikisha mpenzi wako kileleni? , hili ni shtaka la wengi kwenye mahusiano, sio kwa wanaume tu hata kwa wanawake. Unajua ni kwanini unashindwa kufurahia sex?, ehee kukosa maandalizi mazuri ni moja kati ya sababu za kushindwa kufuraha tendo la ndoa.
Leo nimekuandalia mambo ambayo unapaswa kuzingatia kabla ya kufanya tendo la ndoa na mwenza wako. Soma hapa najua taratibu utanielewa.


1. ACHA KUPANIA SANA
Unajua kupania ni kubaya sana?, unawezakushindwa kufanya kile ulichopanga kufanya kutokana na kupania kwako tu. Wewe mwanamke hajaja unaanza kujihangaisha weeee kama wewe ndo wakwanza kufanaya mapenzi vile. Hii ni kwa wale ambao hawaishi pamoja, punguza papara za kupiga simu kumuuliza kila dakika kuwa amefika wapi. Wewe relax atafika tu huyoni wako.

2. SAFISHA MWILI WAKO
Hapa kwenye kusafisha mwili kuna mambo mengi, kuna wale ambao hawanyoagi zile sehemu nyeti, kuoga kwao ni mtihani. Mwenzako hawezi kufurahia tendo kama kuna hali ya uchafu kati yenu, kunuka kunapunguza matamanio ya kuendelea kufanya mapenzi. Jitahidi kuwa msafi kila mara haswa pale unapojiandaa kufanya tendo la ndoa.

3. KUWA NA KINGA ZA ZIADA.
Tunashauriwa kila siku kutumia kinga tunapofanya mapenzi. Hii haimaanishi kuwa humwamini mwenza wako ila inaonesha ni jinsi gani unamjali. Kinga zinazuia vitu vingi sana kama mimba zisizo na malengo na magonjwa ambukizi ya ngono. Kuwa na kinga nyingi za ziada kabla ya kufanya mapenzi, isije ikawa unafika katikati ya tendo alafu kinga inapasuka. Hata gari lina spea taili sembuse wewe binadamu?. Jiandae ipasavyo ukijifungia ndani basi ujue motto hatumwi dukani.

4. VAA MAVAZI YENYE MVUTO KWA MWENZA WAKO.
Hii ni maarumu kwa wanawake, sasa mwanamke unasubili mumeo aje kwa kitanda huku umevaa kijinzi kinakubana kama nini, uo muda wakuanza kukuvua si hata hisia zimekata. Jaribu kuvaa nguo laini zenye ushawishi mkubwa kwa mwenza wako, usimpe kazi ya kuanza kukuvua kwa kutumia muda mrefu. Na kwa wanaume, vitu kama mikanda na majinzi sio ya kuvaa kabla ya tendo vaa boxer au bukta yoyote laini.

5. ZIMA SIMU
Tendo la ndoa linahitaji umakini na utulivu wa hali ya juu, sio unakuwa na mwenza wako tayari kwa kuhondomola wewe unaanza kuchati au mara meseji za madeni zinaingia acha na zile za michepuko. Si vyema kuwasha simu wakati wa maandalizi ya kufanya mapenzi, sahau kila kitu na uweke akili yako kwenye kufanya tendo hakika utafurahia sana.

6. FUNGA NWELE ZAKO.
Hii ni kwa wale wenye nywele ndefu. Huwa nikero saa nyingine mara nywele ziingie mdomoni wakati wa kikiss, sasa ni bora ukazifunga ili 

0 comments:

Post a Comment