Posted by Williammalecela.com on Sunday, September 03, 2017
Mrembo kutoka katika kiwanda cha filamu Bongo, Irene Uwoya ameamua kuongea juu ya tetesi zinazodai anajihusisha kimapenzi na rapper kutoka Tip Top, Dogo Janja na pia amenena mazito juu ya Msami Baby aliyedai kutongozwa na mrembo huyo.
0 comments:
Post a Comment