Saturday, September 2, 2017


Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya  jana alianza rasmi kampeni za Urais muda mfupi baada ya Mahakama Kuu ya nchi hiyo kufuta matokeo ya ushindi wake wa Urais jana hiyo hiyo. Rais Kenyatta alisema hakubaliani na hukumu hiyo lakini ataheshimu uamuzi wa Mahakama hiyo.















0 comments:

Post a Comment