Posted by Williammalecela.com on Monday, September 04, 2017
 |
| Rais wa zamani wa Yanga Afrika Yusuph Manji leo amekumbwa na mkasa mpya kabisa baada ya kufikishwa Mahakamani Kisutu na kuchukuliwa na Polisi kwenda kufanyiwa kazi mpya ya uchunguzi wa kesi yake inayoendelea Mahakamani Kisutu. Habari za Mhakamani hapo zinasema Hakimu wa Mahakama hiyo ya Kisutu amewataka Polisi kuhakikisha wanamleta Manji Mahakamani hapo mpaka kesho Saa Nne asubuhi kusudiaendelee na kesi yake ya awali ya kuhujumu uchumi. |
0 comments:
Post a Comment