Tuesday, September 5, 2017

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amewachagua maafisa sita ambao watasimamia uchaguzi wa urais nchini Kenya wa tarehe 17 october na kuwatoa maafisa wakuu wa tume hiyo.
Maafisa waliotolewa ni mkurugenzi mkuu wa tume hiyo Ezra Chiloba, naibu wake wa Betty Nyabuto, mkurugenzi wa usajiri wa wapiga kura pamoja na mkuu wa operesheni ya uchaguzi Immaculate Kasait, naibu wake Mwaura Kamwati, mkuu wa operesheni za tume hiyo na mkuu wa teknolojia James Muhati.

0 comments:

Post a Comment