Saturday, September 9, 2017


Mwanamuziki wa kizazi kipya DASIBU ABDUL anaye fahamika kwa jina la DIAMONDPLATNUMZ ameonekena kuwa na mahusiano ya ukalibu na msani wa rapper kutoka marekani RICK ROSS .


Rapper maarufu wa marekani kupitia account yake ya instagram Rick Ross @RICKFOREVER ameonekana kuwa na ukalibu ulio weza kuwaacha watu midomo wazi   ambapo  mwanamuziki wa Tanzania marufu kama DIAMOND kuonekana kwenye instagram yake akimnadi na kinywaji cha @OFFICIALBELAIRE



Rapper maarufu wa Marekani Rick Ross @richforever amempost mwimbaji wa Tanzania @DiamondPlatnumz kwenye Instagram yake akimnadi na kinywaji cha @officialbelaire .
Categories:

0 comments:

Post a Comment