Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo,itazindua Huduma ya Matibabu ya bure kwa wazee wapatao 7,299,Watapatiwa vitambulisho vyao katika awamu ya kwanza,
siku ya jumatatu terehe 04 sept 2017,viwanja vya TIP SINZA saa tatu asubuhi.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii, jinsia na watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu
Njooni tuweke historia kwapamoja na rekodi hii nzuri katika Tanzania,ukiachilia sera za Afya na Ilani za vyama,UBUNGO itakuwa Halamshauri ya Kwanza kutoa huduma hii kwa vitendo.
Wazee watapimwa bureeee
Watatibiwa bureeeee
Wazee watapatiwa Vifaa tiba na dawa bureeeee
"TUWATUNZE WAZEE WETU"
Tangazo na Mwaliko umetolewa na
OFISI YA MSTAHIKI MEYA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO





0 comments:
Post a Comment