Friday, September 8, 2017

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kambi rasmi ya upinzani bungeni mheshimiwa Freeman Mbowe amesema Mhe.Lissu ameumizwa vibaya na yuko katika hali mbaya tangu saa 4 asubuhi hadi sasa yupo kwenye chumba cha upasuaji #Nairobi.

Chanzo: Redio One
Mbowe.jpg
 

0 comments:

Post a Comment