Monday, September 4, 2017


George Lwandamina kocha mkuu wa timu ya Yanga alisomeka kupitia ukarasa wake wa Facebook akiandika kuwa amechoshwa na mabadiliko ya ratiba TFF ya mara kwa mara yanayochangia kuharibu programu za timu yake.

   Pia TFF imefanya mabadiliko kwenye michezo yote ambayo ilitakiwa kuchezwa jumatano ya wiki hii itachezwa siku ya jumamosi september 9, 2017.

0 comments:

Post a Comment