Raisi wa La Liga
Javier Tebas alitoa malalamimo kuhusu wamiliki wa klabu ya Manchester
City ambao pia ni wamiliki wa klabu ya PSG kutokana na matumizi makubwa
ya kifedha wanayoyafanya.
Lakini baadaye shirikisho la soka la UEFA lilitoa
majibu kuhusiana na barua iliyoandikwa na Rais wa La Liga kwa kusema
kwamba shirikisho hilo halitaichunguza klabu hiyo na taarifa nyingine
kinyume na hapo ni uongo.
0 comments:
Post a Comment