Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 06, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda, akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja leo wakati wa zoezi la kuwapima afya bure wananchi na kuwatibu inapobidi, zoezi linalosimamiwa na Ofisi ya Mkuu huyo bila kuwalipisha wananchi.
0 comments:
Post a Comment