![]() |
| Mbunge
Wa Nyamagana mhe Stansilous Mabula ametunikiwa cheti cha heshima na
kaimu Katibu Mkuu Wa umoja Wa Vijana mhe Shaka kwa kutambua mchango wake
alionao katika Ujenzi Wa umoja Wa vijana mkoani Mwanza. Mwingine aliyepokea cheti ni kamanda Wa Mirongo ndg Ahmed Misanga. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment