Nyota wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano
Ronaldo maarufu kama CR 7, amezindua Manukato ‘perfume’ yake mpya ambayo
ameipa jina la CR7 au de Toilette.
Nyota huyo wa Mabingwa wa Klabu Bingwa Barani Ulaya, Real Madrid
amezindua manukato hayo hapo jana siku ya Alhamisi nakutarajiwa kuuzwa
kwa paundi 19 .
Picha za uzinduzi wa Manukato ya mchezaji mpira, Cristiano Ronaldo ‘CR7’
Akisherehesha katika hafla hiyo ya uzinduzi wa manukato yake
0 comments:
Post a Comment