Posted by Williammalecela.com on Tuesday, September 05, 2017
Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kupitia ukurasa wake wa twitter amefurahishwa na mkakati wa kulea wazee uliozinduliwa wilaya ya Ubungo kwa kuwapa wazee wote kadi za matibabu ya bure, na kusema pia mkakati huo kwa sasa anaulekezea jimboni kwake.
0 comments:
Post a Comment