![]() |
| Picha ya Gauri Lankesh |
Mwanahabari mashuhuri nchini India Gauri Lankesh amekutwa kwenye bwawa la kuogelea nyumbani kwake mjini Bangalore,
Polisi wamesema kuwa Lankesh alipigwa risasi mbili za kichwani na watu waliovamia nyumba yake kwa pikipiki, na pia wameyaelezea mauaji ni kama njia ya kupunguza uhuru wa demokrasi, Na hakuna aliyekamatwa mpaka sasa.
![]() |
| Picha ya Gauri Lankesh |


0 comments:
Post a Comment