Msichana anayefahamika kwa jina la Samantha mwenye umri wa miaka 14 kutokea Ufaransa ya kaskazini ameshambuliwa na panya waliokuwemo chumba alicholala, pia taarifa zinasema
Msichana huyo mwenye ulemavu alikutwa na kisa hicho alipokuwa amelala kwenye chumba cha kukodishwa kilichopo ghorofa ya kwanza, na chanzo kinaeleza kuwa panya hao walitapakaa chumba hicho kutokana na eneo la chumba kuwa karibu na jaa la taka lililojaa.
Na mtaalamu anayempatia matibabu amesema kuwa Msichana huyo amekutwa ana vidonda 45 usoni, 150 mikononi na 30 miguuni na walipochunguza hakukutwa ameambukizwa ugonjwa wowote

0 comments:
Post a Comment