Saturday, September 2, 2017



Picha hii ya Le Mutuz Nation akiwa na Super Staa Singer Ali Kiba, imezua gumzo kubwa huko Mitandao ya kijamii bongo kutokana na ukaribu wa Le Mutuz na Diamond Platnumz ambaye ni adui namba moja kimuziki wa Ali Kiba. Kwenye Instagram yake Le Mutuz aliandika kutaka amani baina ya wanamuziki hao mashuhuri nchini.

0 comments:

Post a Comment