Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa
wamepiga magoti wakati wakiombewa na Maaskofu wa Kanisa la Waadventista
Wasabato Magomeni.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, leo wameungana na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Usharika wa Magomeni Mwembechai kusali katika Ibada ya Sabato.
![]() |
| Add caption |
Rais Magufuli akimsikiliza Waziri Mstaafu wa Awamu
ya Nne, Steven Masatu Wasira wakati wa kuchangia Harambee ya Ujenzi wa
Kanisa hilo. Rais Magufuli na mkewe waakikabidhi mifuko 400 ya saruji
itakayotumika katika ujenzi wa Kanisa hilo. Rais Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakijumuika na waumini wa Kanisa hilo kusali Ibada ya
Sabato.

0 comments:
Post a Comment