
1.Nakupenda lakini Sina Hisia nawe(Kwa wale ambao bado hawajaoana)
2.Sisi ni Marafiki tu!
Kwa
amnbao bado hawajaoana Ukimuuliza Mpenzio unanichukuliaje au mimi ni
nani kwako anakuwa anasuasua sana sana utaambiwa ni marafiki tu.Na kwa
ambao tupo katika Ndoa ukiuuliza vipi mbona nakuona una mazoea ya karibu
mno na mtu fulani? Utaambiwa ni Rafiki tu!
3 Nahitaji muda wa kufikiria kuhusu hisia zangu!
Hili
nijibu tosha kwamba Kuna Mwenzio ambaye anamchanganya akili mpenzi wako
na ndio maana anakuwa hivyo! Anza kukaa tayari au mguu nje, mguu ndani!
4.Mabadiliko ya Ratiba za Kazi
Kwa
wale ambao tupo ndani ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu, utaliona
hili, mara kurudi late sana, ubize umekuwa mwingi mno hadi weekend! Na
dharula za kikazi zisizoisha!
5. Kutumia Muda Mwingi katika Computer
Kama
ameweza kujizuia kutoka toka hovyo, basi anaweza kuwa mtumiaji mzuri na
wa muda mrefu wa Computer, atakaa hapo ata chat na kuongea na wezi wako
tani yake, na unaweza usilijue hili kwani atakuambia ana kazi za
ofisini anamal
6. Simu za Siri, Simu kuwa locked!
Siku
hizi simu zimekuwa nyingi, za usiku, mara simu ikipigwa ananyanyuka
kwenda chumbani au kujificha kidogo, mara simu ikipigwa inakwatwa! Na ya
kufanana na hayo!
7. Tabia yoyote yenye kutia Mashaka!
Waswazi
wanasema "Wasiwasi ndo Akili" Basi wasiwasi wako huenda ukakupa akili
juu ya nini kinachoendelea na ukapata njia ya kuubaini ukweli!
Ukiyaona
haya au ya kufanana na haya kaa ukijua kuna kidudumtu kinawala na
kitawatenganisha, Ni vyema ukachukua hatua! Pia Jiandae Kudanganywa!
0 comments:
Post a Comment