“Taratibu zote zilifuatwa kuhusu hawa wabunge kuingia hapa Bungeni na kwa kumalizia niseme kuwa Spika ana nafasi yake, wapo baadhi ya lile kundi walikuwa wakijinadi kuwa Spika huyu dhaifu.
“Ilipofika kwenye 18 zangu nikasema hapa ndio udhaifu wangu utakapoonekana. Kama una akili yapo maneno ambayo hayana lazima wala umuhimu na mwisho utaumia bure.” – Job Ndugai.
0 comments:
Post a Comment