Msanii Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Seduce me' amefunguka na kumtaka mtayarishaji wa muziki wake mpya Man Water asiwatishe watu kwa kusema kuwa kuna misiba mingine ipo ndani zaidi ya 'Seduce me'
Alikiba alisema hayo baada ya Man Water kusema huu wimbo mpya wa Alikiba ni mwepesi sana kwa nyimbo ambazo mkali huyo amefanya katika studio zake za Combination ambazo bado hazijatoka.
0 comments:
Post a Comment