Saturday, September 2, 2017

Muhingo Rweyemamu enzi za uhai wake.
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga na mwandishi wa habari, Muhingo Rweyemamuamefariki dunia leo Jumamosi, Septemba 2.

Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na aliyekuwa Mwenyekiti Jukwaa la Wahahariri Tanzania, ambaye pia alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu, Absalom Kibanda.
Katika utumishi wake, Muhingo Rweyemamu aliwahi pia kuwa mkuu wa wilaya za Morogoro, Makete na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited.

0 comments:

Post a Comment