Posted by Williammalecela.com on Saturday, September 09, 2017
 |
LIVE
STRAIGHT TALK:- The Art of Super Unafiki sisi Wabongo
ni wanafiki tena
wa ajabu sana na huyu Rais Magufuli atapata taabu sana pamoja na kwamba
anachofanya ni kutusaidia sisi wenyewe tena kwa faida yetu wenyewe
Wananchi na Taifa kwa ujumla lakini tayari ameshakuwa adui mkubwa sana
wa anaotaka kutusaidia yaani Wananchi na hasa Viongozi na hasa
ninasikitishwa sana na tabia za baadhi ya Viongozi wengi wa zamani ambao
wamekaa madarakani almost all their lives hawakufanya lolote
la maana zaidi ya kulifikisha Taifa pabaya sana leo wapo wanahangaika
sana kumu undermine Rais Magufuli
...katika huu Mwaka Mmoja na chenji wa
Magufuli Style nimejifunza mengi sana na la msingi sana ni kwamba kumbe
Viongozi wengi wa zamani wa Taifa walikuwa wanategemea watam Remote
Control Magufuli Masikini wa Mungu wamepiga chini wao na wafanyabiashara
wao wote sasa wanalia in the Private kuwa Rais wa sasa hafai ...mpaka
viongozi waliokuwa mabingwa wa kuminya haki za wenzao wakidhani Rais
Magufuli atawaogopa kwa sababu wapo ndani ya CCM wote saaa wamegeuka
mabingwa wa Ukweli na Haki za binadam inafurahisha sana wamesahau maovu
yao yote waliyowafanyia wengine
...ninamshukuru Mungu I have lived long
enough kujionea ninayoyaona leo yaani Uongozi wa Haki na Usawa now
naomba niseme hivi hakuna Binadam mkamilifu hata Rais Magufuli sio
mkamilifu ana mapungufu yake lakini NIA NA MADHUMUNI YAKE KWA UMMA NA
TAIFA NI NJEMA na naomba kusema bila kufikiri kuwa wanaompinga nia yao
sio njema kwa Taifa na Umma wanapigania matumbo yao ni afadhali
Wapinzani wanaompinga kwani Taifa tunawalipa ruzuku kumpinga ila
Viongozi walioko CCM wanaompinga kichini chini na familia zao
wanachopigania ni simply matumbo yao tu ...huwa ninajiuliza hivi
mlipokuwa madarakani kwa miaka yote iliyopita hamkuchota za kutosha
mpaka leo mnahangaika hivi kumu indermine Rais wa sasa tena na mambo ya
kijinga sana na ndio sasa wanao ongoza kumpelekea yule Tahila habari za
majungu na udaku ...Wanafiki wakubwa mlitaka makontena yaendelee kuingia
na kutoka bure Bandarini! mlitaka Serikali iendelee kukopa mishahara ya
wafanyakazi wake kwa Wahindi? what a shame? Rais Magufuli KANYAGA you
have 100% Support from some of us! - le Mutuz SB
|
0 comments:
Post a Comment