Posted by Williammalecela.com on Friday, September 08, 2017
 |
EXTRA
STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu
kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza
....naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai
Mwezi May, Mwaka 1998 je Rais hakuwa Magufuli?....Wakati wafuasi wa CUF
Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais
hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi
Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Je Rais hakuwa Magufuli?
....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha
kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli?
....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa
Leaders Club anapata supu asubuhi je Rais hakuwa Magufuli? ....Mwezi
May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na
kupigwa vibaya je Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa
Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho
na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli
....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu
ya Chadema Rais hakuwa Magufuli? ....please mdijaribu kupandikiza chuki
baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far
wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea
apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against
Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge
akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na
Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni
FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio
Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema
wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha
kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks
tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us
tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi
anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so
relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi
yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz Super Brand |
0 comments:
Post a Comment