Friday, September 1, 2017


Rais wa kenya anayemaliza muda wake Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto
wakifatilia kwa ukaribu hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 08.08.2017

Ambapo mahakama imeamuru uchaguzi wa urais urudiwe na ufanyike ndani ya siku zisizozidi 60 kuanzia Leo.

0 comments:

Post a Comment