Mechi zinazoendelea kuisaka nafasi ya kucheza fainali za kombe la dunia mwaka 2018 zinaendelea tena mwez octoba ambapo
Sweeden itakutana na Luxermburg, Ostria watachuana na Serbia, Uturuki dhidi ya Serbia, Italia itamkabili Mecodonia, Hispania itakutana na Albania, Montenegro dhidi ya Denmark, Moldova watachuana na Wels, England wataikabili Slovenia, na upande wa Ujerumani wataivaa Ireland ya Kaskazin.

0 comments:
Post a Comment