Friday, September 8, 2017

Pichani ni Tundu Lissu

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye amepigwa risasi alhamisi mjini Dodoma, anaendelea kupata matibabu nchini Kenya jijini Nairobi.
Kufikia saa 10 alasiri ya leo, madkatari walikuwa wanaendelea na upasuaji wa zaidi ya saa 4, wakijaribu kutoa risasi ya zaidi ya 21 zilizomdhuru kiongozi huyo.

0 comments:

Post a Comment