Saturday, September 9, 2017

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameishukuru taasisi ya African Releaf Organization inayotokea nchini Quwait kwa kutoa msaada wa vyerehani 25 ambavyo vitawasaidia wajasiriamali wanaojihusisha na ushonaji wilayani Ruangwa kujipatia kipato.
Amesema kuwa mbali na kupokea msaada wa vyerehani hivyo taasisi hiyo  inajenga zahanati kata ya Nanganga wilayani hapo.

0 comments:

Post a Comment