Fuatulia matangazo ya moja kwa moja (Live!!!) Kutoka uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam ambapo Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amefanya ziara ya kushtukiza, kufuatilia Almasi iliyokamatwa ikisafirishwa kwenda nje ya nchi.
Fuatilia ili uone almasi iliyokamatwa na maelekezo ya Serikali. Matangazo haya yatarushwa moja kwa moja kupitia TBC1 na tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz kuanzia saa 3:30 asubuhi hii ya tarehe 09 Septemba, 2017.

0 comments:
Post a Comment