Monday, September 4, 2017


Mbunge wa jimbo la Kigoma Ujiji kwa tiketi ya chama cha ACT wazalendo mh. Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amempongeza meya wa Ubungo ndugu Boniphace Jacob kwa manispaa yake kutoa kadi ya matibabu kwa wazee ili watibiwe bure.

0 comments:

Post a Comment