Thursday, April 8, 2021
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Mwalimu Wakala na Mwalimu mobile popote Tanzania.
Akizungumza wakati wa kuzindua huduma ya Mwalimu Visa Card Waziri Jafo alisema kwa waalimu ambao wanalenga kujikomboa kiuchumi ni vizuri wakatumia huduma za Mwalimu bank kwani sio tu inawapa mikopo nafuu lakini pia inawajali kabla ya ajira na baada ya ajira yaani wakistaafu.
0 comments:
Post a Comment