Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 19, 2014
 |
| Mbunge wa Chalinze CCM Mh. Ridhiwani Kikwete + Le Big Show, now I am proud of this Leader kwa sababu one way or another nilishiriki kwenye Kampeni za Ubunge wake toka achaguliwe he has been doing the right things na saying the right words ni Vijana wachache sana nchini ambao wamelilia uongozi wakafanya vizuri kwenye Uongozi, wengi wao wamesihia kuwa mzigo kwa wananchi na Taifa but not this man and he is always a humble man!! Salute bro!!, - Le Big Show |
0 comments:
Post a Comment