Beki wa kushoto wa Arsenal, Kieran Gibbs atakosa mechi zote za ligi ya
mabingwa dhidi ya Besiktas baada ya kuumia eneo la uvungu wa goti.
Pia mshambualiaji Yaya Sanogo hajasafiri kwenda uturuki kwa ajili ya mpambano wa leo
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema anatamani kupambana na timu zilizo juu zaidi barani ulaya
Leo Arsenal itacheza mechi ya kwanza dhidi ya Basiktas nchini Uturuki.
Arsenal iliidhidbiti klabu nyingine ya Uturuki Fenerbahce katika hatua ya makundi msimu uliopita
0 comments:
Post a Comment