Tuesday, August 5, 2014




Pamoja na baadhi ya wajumbe wa bunge maalum la katiba kususia bunge hilo, lakini habari njema kutoka ndani ya bunge hilo linaloendelea hivi sasa ni kwamba robo tatu ya wajumbe hao wamehudhuria bungeni, akidi imetimia vilivyo. Kwa maana hiyo mijadala inaendelea,itaendelea kama ilivyoendelea.
source: mh samwel sitta..mwenyekii wa bunge la katiba. Kupitia tbc 1. Asbh hii live from Dodoma

0 comments:

Post a Comment