Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 05, 2014
 |
| Le Mutuz at the Agakhan Hospital with Mbunge wa CCM Tabora Mjini aliyepata ajali ya Gari jana Maili 25 kabla ua kuingia Dodoma Mjini akitokea Tabora akiwa na Mbunge wa Viti Maalum CCM Mh. Munde Tambwe, wote wawili wanaendelea vizuri ingawa wameumia kidogo lakini wapo sawa kabisa na Mungu awape nguvu na wapone haraka warudi bungeni kutengeneza katiba mpya. |
 |
| Mheshimiwa Munde Tambwe. |
 |
| Mheshimiwa Cathy Magige at the Hospital live!! |
0 comments:
Post a Comment