Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi (katikati), akitoa hotuba yake wakati wa kongamano la wazi wa jamii kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mambo muhimu yaliojadiliwa katika kongamano hilo ni ilani ya wanawake katika katiba mpyakuangalia suala la usawa wa kijinsia, wanawake wanapata haki zao za msingi hasa katika suala la matibabu, uzazi salama, elimu, maji salama, ushiriki wa kutosha katika nafasi za ajira ngazi zote na ushiriki sawa katika nafasi za maamuzi na ulinzi wa kutosha kutokana na kukithiri kwa ukatili wa Kijinsia, kongamano hilo lilifanyika Agosti 6,2014 TGNP jijini Dar es Salaam (kushoto), Mdau wa Maendeleo Humphrey Polepole, na kulia Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali.
Mdau wa Maendeleo Humphrey Polepole akichangia mada.
Kushoto, Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi akiteta jambo na Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali wakati wa kongamano la wazi wa jamii kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mambo muhimu yaliojadiliwa katika kongamano hilo ni ilani ya wanawake katika katiba mpya kuangalia suala la usawa wa kijinsia, wanawake wanapate haki zao za msingi hasa katika suala la matibabu, uzazi salama, elimu, maji salama, ushiriki wa kutosha katika nafasi za ajira ngazi zote na ushiriki sawa katika nafasi za maamuzi na ulinzi wa kutosha kutokana na kukithiri kwa ukatili wa Kijinsia.liloandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP.
0 comments:
Post a Comment