STAA wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija ameugua ghafla na kulazwa katika hospitali moja jijini Johannesburg, Afrika Kusini alipokwenda kwa mapumziko mafupi.
Akiwasiliana na mwandishi wetu kupitia mtandao mmoja wa kijamii, rafiki wa karibu wa Shija aliyeomba hifadhi ya jina lake alithibitisha kuhusu kuugua kwa msanii huyo.
alisema rafiki huyo ambaye ndiye mwenyeji wa Shija.
Siku ya pili, mwandishi wetu alifanikiwa kuwasiliana na Shija kupitia mtandao mwingine wa kijamii ambapo alisema:

0 comments:
Post a Comment