Posted by Williammalecela.com on Thursday, August 28, 2014
 |
"Gdmorning
friends! Nimekuwa nikipata inbox nyingi sana juu ya invitation cards za
kuhudhuria Talent show lakini watu wagumu kuelewa,nimeweka number ili
anayependa kuhudhuria anipigie nimuelekeze jinsi gani ya kupata
invitation card.Sasa leo yoyote anayehitaji atakayekuwa maeneo ya mjini
anipigie kwanza 0715 666686 afuate ofcn Golden Jubilee au aseme niache
wapi Otherwise sintapenda lawama kutokea hapo." |
0 comments:
Post a Comment