Posted by Williammalecela.com on Monday, August 04, 2014
 |
"safi sana kaka LE MUTUZ awa mamburula huku china wanalichafua sana
jina la Tanzania pia wanahatarisha maisha ya wasichana wa Tanzania kwa
kushirikiana na Wanigeria kwani ukiacha biashara za ukahaba pia
uwaingiza kinguvu kubeba SEMBE pia kumekuwa na cases za baadhi miili ya
wasichana kupatikana imetupwa huku ikiwa imenyofolewa FIGO kwani
biashara ya figo kwa china imeshamiri sana kwani watu wengi wanamatatizo
ya figo
Anyway nimeanza na huyo bosi wao mkuu bado nakusanya taarifa
za wengine kwani awa mabosy lady wapo wengine naendelea kukusanya
taarifa zao na nikikamilisha basi lazima kuwaanika laivu makavu laivuuu" |
0 comments:
Post a Comment