@ VERONICA MWENGELE:- "Kha? Ukweli unauma we na utu uzima wako kila siku kupiga picha na Malaya huoni aibu wewe ukweli lazima uambiwe hao wanaokusifia wanakungo'nga' tu kaka yangu"
- WELL, NI WATU KAMA HUYU VERONICA NDIO NAWAITA MBURULAZZ WITH NO BRAIN AT ALL HIVI KATI YA HAWA 3 NI YUPI UNAWEZA KUJILINGANISHA NAYE?
WA KWANZA NI SUPER MODEL HAMISA MOBETO ANALIPWA MILLIONS OF SHILLINGS KUCHEZA CINEMA NA MODELLING, ANYEFUATA NI SUPER BILIONEA ZARI MGANDA MWENYE PESA ZA AJABU KULIKO MABEBEZ WOTE EAST AFRICA, NA MWISHO NI SUPER STAR ACTRESS IRENE PAUL ANALIPWA MAHELA MENGI SANA KUCHEZA CINEMA NA NI MKE WA MTU, SASA VERONICA JIPIME WEWE UNAFIT WAPI NA HAWA WADADA UNAOWAITA MALAYA KWA VILE NIMEPIGA NAO PICHA TU! NDIO MAWAZO MGANDO YA SISI WANANCHI WENGI BONGO UNAJISEMEA TU MANENO BILA HATA KUWA NA FACTS, BADILIKA HII DUNIA SIO ILE YA ZAMANI SIKU HIZI NA KINA DADA WANATAFUTA PESA ZAO BINAFSI KWA VIPAJI NA SIO MALAYA, POLE SANA ILA BADILIKA SISTER MAANA SUNIA IMEBADILIKA!!, HALAFU WASOME WANANCHI HAPA CHINI VIZURI!! - LE MUTUZ
- Mbelwa Msangi, Getrudar Njibha, Frolah Mbedule and 2707 others like this.
- Shex Nkole Huyo amepanic! Songs mbele kiongozi hiyo ndio style yako ya utafutaji. Network Marketing. Lembururaz atafahamu vipi!
- Angel Patrick Hahahahaaaa...jiti hilo......wanawake wenzie anawaita malaya haoni anajitukana mwenyewe huyooo.....hahahahaaaaa....akiumia akakuprint abandike mabango co kukutangazaaa tu......
- Dennis Mponji Junior Sometimes ni bora kujitoa kwa mtu unayeona upo tofauti naye kifikra au lolote lile kuliko kumpangia namna ya kuendesha mambo yake.
- 6 hrs ·
- 6 hrs ·
- Lydia Msangi ahaaaaaaa achana nayeee ukiona hvyo hana sura ya kuonekanaa kanisambazeeeeeeeeeeee lakoooo hiloooo
- Lamu Pascal Elizayo Kwa hyo kila anayepiga photo na msichana anakuwa DEMU wake ha ha ha ha WIVU ni ugonjwa mkubwa
- Samson Kiduko Safi sana bro, kikubwa mshukutu Mungu ukiwa na maadui wengi wanakupa changamoto katika maisha. Dedication kwako lemutuuz tafuta wimbo wa fid. Q "SIHITAJI MARAFIKI" utanielewa big up.
- John Balletto Mpeleke mbele ya sheria ukulipe uchafuzi ghasia huyo@ mutuzzzz
- Mary Silyvester Umefanya vizuri sanaaaaaaaaa
- Rosalyn Joaquim Huyo gal ajielewi inaonekana ana wivu sana au mpotezeee hizo n changamoto tu za maisha tena unahitaji maadui wengi ili uweze kufanikiwa ww n kiongoz
- Jerry Mpinga Perception tu ya huyo dem haikuwa nzuri na uelewa mdogo. Kimsimsingi kila mtu ana aina yake ya maisha yanayomfanya aingize kipato au kuishi kwa furaha, so you must respect somebody's life style coz haikuhusu.
Kina Rihanna na wenzie wanavaa karibu uchi wa mnyama inamaana ni Malaya kweli?! - Pius Maro Ruge Le Mutuz Baharia mutu munene, tajiri mutu ya watu uishi milele, si dhambi kujiwachilia na mabebz wakare furahia uumbaji.
- 2 hrs ·
- Hamisi Mgaya Usingemdelete. Ila ungemuelewesha tu,km asingeelewa ungemuacha ipo siku atakuelewa, kwa Le Mutuz Baharia ni darasa la vijana, jua anakupenda ndio maana anakusoma.13 hrs ·
- 11 hrs ·
- Henry Adams anhaa alikuwa anakutaka yule mamae!10 hrs ·
- Paschal Kunambi Delete wanawake wa design hiyo. Wao majungu kwao sala na wanakwamisha sana ukombozi wa wanawake duniani hasa wa bongo10 hrs ·
- Kido Mrema Usingemdelete,muache aendelee kukuona huenda baadae akakuelewa.Ukimdelete utamuacha gizan hana cha kujifunza!!!!!2 hrs ·
- Timothy Edgar Hahahaha usinge mdelete braza ungempa elimu kwanza2 hrs ·
- Naomi Willson Akuache miaka800 Le Mutuz Le mtu ya kilo Le Mzee ya mabebes wakali Mzee ya u know hahaha avae miwani asione gereeeeeeeee!
- 19 mins ·







































0 comments:
Post a Comment