Sunday, August 31, 2014

C360_2014-08-27-23-57-06-760Mdau Bhoke Wambura akikata keki wakati wa hafla yake fupi ya kuzaliwa kwake iliyofanyika hivi karibuni kwenye hoteli ya Kebbys mwenge jijini Dar es salaam wadau wote wa Fullshangwe wanamtakia mafanikio katika maisha yake.
C360_2014-08-27-23-58-06-465Mdau Bhoke Wambura akilisha keki rafiki yake Rose Muna Love wakati wa hafla hiyo.
C360_2014-08-28-00-03-56-432Hapa akipozi kwa picha mara baada kukata keki.
C360_2014-08-28-00-04-24-722Hapa akipozi kwa picha na rafiki yake Suzy Kondo

0 comments:

Post a Comment