Tuesday, August 19, 2014

Bingwa namba mbili wa mchezo wa Tenis Rafael Nadal amejitoa kutoka kwenye michuano ya US Open kutokana na jeraha la kifundo cha mkono wa kulia.http://4.bp.blogspot.com/-uBO1F0SQYpE/UdXhaB0KXpI/AAAAAAACVNs/wBkNdLf5lBc/s1222/who-won-wimbledon-rafael-nadal-56.jpg
Nadal alipata jeraha alipokua kwenye mazoezi mwezi julai hali iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mechi mbili za kujipima .
Nadal alikua na matumaini ya kupona kabla ya tarehe 25 mwezi huu.

0 comments:

Post a Comment