Tangu kuanza kwa ugonjwa wa Ebola kumekuwapo na malalamiko ya watu
wanaotoka Barani Afrika kutengwa kwa kutopewa huduma za kijamii nchini
Korea ya kusini ikiwamo kutoruhusiwa kuingia katika Migahawa na usafiri
wa umma kwa madai ya kuwa huenda wana virusi vya Ebola

Aidha, baadhi yao wamedai watu weusi wanaposimamisha TAXI hazisimami kutokana na hofu ya virusi hivyo vya Ebola.
Aidha, baadhi yao wamedai watu weusi wanaposimamisha TAXI hazisimami kutokana na hofu ya virusi hivyo vya Ebola.
0 comments:
Post a Comment