Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amesema Urusi inapania
kupeleka msaada zaidi Ukraine kwani hali ya kibinadamu inazidi kuzorota
Ukraine haikuruhusu msafara wa msaada wa kwanza na kupelekea utata
mpakani maafisa wa Kiev walipowanyima kibali cha kuingia Ukraine bila
kukaguliwa
Wakati huo Kiev Ilikuwa ikielezea wasiwasi wake kuwa Moscow ilikuwa iwapo silaha kuwepo kwa silaha
Viongozi wa Ukraine walisema msafara wa magari yaliokuwa na silaha
yalivuka mpaka wake kutoka Urusi jumatatu na kupelekea mapigano.
Viongozi wa Ukraine na Urusi wanaratibiwa kukutana Kesho
Mfara huo unasemekana ulikuwa karibu na Mariupol kusini mashariki mwa Ukrain .
Zaidi ya watu 2000 wamekufa na wengine 33000
kuhamishwa makwao katika miezi kadhaa iliyopita kwenye mapigano kati ya
serikali ya Ukraine na waasi wanaoungwa mkono na Urusi.
Rais wa Urusi na Ukraine wamepanga kukutana katika mji wa Minski Belatus jumanne ili kuzungumzia swala hilo.
Bwana Lavrov alieleza kuwa alikuwa ametuma
ujumbe kwa waziri wa mambo ya kigeni wa Ukraine kumjulisha kuhusu
msafara mpya uliotarajiwa.
Aidha alitaka makaubaliano ya kufikikisha msaada wa pili kwa njia ile ile siku ya awali.
Ukraine ilisema magari karibu 30 yalikuwa
yameingia kutoka Urusi karibu na Mariupol mnamo jumatatu ikiwa na alama
ya waasi wa jimbo linalotaka kujitenga la kidemokrasia ya Donetsk
Urusi imepanga msafara mpya wa msaada kwenda mashariki mwa Ukriane
Bwana Larvov alisema kuwa wako tayari kwa suluhu lolote maadamu
matokeo yaonekane akiongeza kuwa Urusi ilitaka kuwasaiida Ukraini kuleta
uwiano baina yao.
Vurugu mashariki mwa Ukraini ilitokea mwezi
Aprili ambapo walitangaza kutaka kujitenga na Ukraine katika maeneo ya
Donetsk na Luhask
0 comments:
Post a Comment