Posted by Williammalecela.com on Thursday, September 11, 2014
 |
"Pole Sana Daniel Naftali na mwakibinga kwakuangukiwa na kitu chenye uzito mkubwa . Sasa rudini shule mkasome Vijana . Pole Sana Pendo peneza ,nimekujua miaka mingi ya nyuma enzi hizo nikiwa msukule huko chagadema wewe ni mwanamke mpambanaji.
Tatizo chadema hawataki wanawake kushika nyadhifa za juu,nilipigwa vita
Kama mwanamke nawe Leo imejidhihirika baada yakupigiwa kampeni chafu
kuwa wanawake hawapaswi kuaminiwa maana hawaaminiki.
Wanasahau kuwa tatizo sio kutoaminika tatizo ni kuwa wanawake wengi
tunajitambua na kamwe hatuwezi kubali kuyumbishwa(mwanamke ni jeshi
kubwa-Holy bible) Bado Una nafasi ,Kama mwanamke mwenzangu nakupa pole lakini pia Get courage madam. Nimetulia na kijani yangu kwasasa najenga Taifa langu."
|
0 comments:
Post a Comment