Msanii wa R&B Tanzania BEN POL ameamua kusherekea siku yake ya kuzaliwa
tofauti kabisa na ilivyozoeleka kawaida mtu husheerekea siku yake ya kuzaliwa kwa
kualika ndugu na marafiki ili kuweza kuburudika lakini kwa Ben Pol imekua tofauti
baada ya kuamua kusherekea siku yake ya kuzaliwa na watoo wanaosumbuliwa na Maradhi ya Kichwa kujaa maji na kuvimba kwa kuwapatia misaada mbalimbali .
0 comments:
Post a Comment