INAWEZA KUWA DAWA?! MWANAUME ALIYEJULIKANA KWA JINA LA ISAYA M. HANGAYA (30), MKAZI WA GOBA JIJINI DAR AMEMUUA MKEWE, MERY CHARLES LUGUSHA (26) KISHA NAYE KUJINYONGA KISA KIKISEMEKANA NI MCHEPUKO WA MWANAMKE HUYO.
Waombolezaji wakisali kuiombea rehema nafsi ya marehemu, Isaya M. Hangaya (30) naaliyekuwa mkewe Mery Charles Lugusha (26).
Akizungumzia mkasa kamili, dada wa marehemu Mery, mama Jane aliweka wazi mkasa mzima wa mauaji hayo akisema mwezi uliopita, shemeji yake huyo alifika nyumbani kwake na kumshtakia kwamba hawaelewani na mdogo wake ndani ya nyumba kutokana na kupigiwa simu mara kwa mara na wanaume hivyo amkanye.Akuzungumza na Uwazi huku akilia kwa uchungu kutokana na aina ya kifo cha mdogo wake, mama Jane alisema:SOMA ZAIDI>>
0 comments:
Post a Comment