Tuesday, September 9, 2014

Kampuni maarufu ya kinywaji cha Shuda Cocktails ya London/UK imemchagua Le Mutuz Big Show kuwa Balozi wake bongo na East Africa kwa mkataba wa kuitangaza kampuni hiyo na kwa muda mrefu, makubaliano hayo yalifikiwa rasmi Ijumaa iliyopita baina ya Muwakilishi wa kampuni hiyo hapa Tanzania na Le Big at ofisi za branch ya kampuni hiyo Masaki mjini bongo.


0 comments:

Post a Comment