Rais Hassan Rouhan Iran
Raisi wa Irani,Hassan
Rouhan,amewataka wananchi wake pamoja na masheikh kujifunza zaidi
masuala ya mitandao ya kijamii, internet na hasa matumizi ya teknolojia
mpya (teknohama).
Rouhan alikua akitoa hotuba iliyokua ikirushwa
live na runinga ya nchi hiyo,amewaambia wananchi wake kua matumizi ya
mtandao yanawaunganisha na ulimwengu wa sayansi,na amewataka vijana pia
kuacha kupuuzia matumizi ya mtandao na badala yake wajishirikishe na
kuitumia mitandao.
Rais Rouhan alichaguliwa mwaka uliopita,ameahidi
kushirikiana nakuwapa uhuru vyombo vya habari nchini mwake,lakini
katika mwito huo amekumbana na msimamo mkali wa baadhi ya mashekhe
nchini humo
0 comments:
Post a Comment